Kiawyu cha Asue

Kiawyu ya Asue (pia Kipisa) ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Waawyu. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiawyu ya Asue imehesabiwa kuwa watu 6500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiawyu ya Asue iko katika kundi la Kiawyu.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy